Residential Plot for Sale in Ntyuka, Dodoma (1040 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
1040 SQM
Description
🏡⛰️ KIWANJA CHA KWENYE MUINUKO – NTYUKA DODOMA ⛰️🏡
🔥 Unataka eneo la tofauti lenye mwonekano mzuri na thamani kubwa ya baadaye?
Hiki hapa ni kiwanja sahihi kwa makazi ya kisasa au uwekezaji!
📍 Location: NTYUKA – Dodoma
📐 Ukubwa: SQM 1,040
⛰️ Kipo kwenye kimlima chenye upepo mzuri na mazingira ya kuvutia sana
🌇 Mwonekano wa juu unaovutia kwa nyumba ya kisasa, apartments au lodge
🛣️ Eneo linaendelea kukua kwa kasi na linafikika kirahisi
✅ Huduma muhimu za kijamii zipo karibu
✅ Eneo tulivu, salama na lenye hadhi
✅Bei: mil 20
💰 Nunua leo kabla thamani haijapanda zaidi!















