Residential Plots for Sale in Ntyuka, Dodoma


Type
Residential Plot
Nearest Road
9km
Amenities
Description
🔥
Kiwanja namba 1491 na 1493 bado vinapatikana ndani ya mradi wa NTYUKA – DODOMA, lakini sio kwa muda mrefu.
------
Sqm 1 ni 6000.
------
Ni km 9 tu kutoka Dodoma Mjini
------
👌Hapa tunazungumzia eneo la juu (mwinuko) lenye view kali sana – ukiwa hapa juu unaiona Ntyuka yote kama ramani, pamoja na maeneo ya jirani 🌄
>>Hii sio sehemu ya kawaida: ✔️ Unapata upepo safi na mazingira tulivu.
✔️ Muonekano wa kuvutia – perfect kwa makazi ya kisasa
✔️ Location yenye thamani inayopanda kila siku
✔️ Inafaa kujenga au kuwekeza mapema kabla bei haijapaa.
👇
chukua eneo la juu lenye hadhi.
📞0681 904 388. Piga simu au tums ujumbe.
Au fika katika office zetu zilizopo 📍 Mtendeni Street in Zahir Restaurant Block, Opposite na Maisha club.















