Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 5 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/072024 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS BUSTANI SAFI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIKO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
CONTACT: 0672 673363