Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI) NYUMBA MPYAAAA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO. FENI SEBULENI NA VYUMBANI KOTE.
MAJI DAWASA TENKI LIPO LAKUJITEGEMEA NA PARKING KUBWA YAKUTOSHA.
KODI: 300000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6.
LOCATION: PUGU KANISANI.
PIGA SIMU: 0788156493 0614130017