Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA IPO SOKONI INAUZWA.
Nyumba ipo National Housing Karibu na Lami kuu ya kuelekea Arusha.
Nyumba inajitegemea yenyewe na ina uzio wa Ukuta, paving na gate.
Nyumba ina vyumba vi 3, Kimoja wapo ni master, sebule jiko,stoo na dinning.
Pamoja na makabati Jikoni.
Pia nyumba ina System ya maji Moto, pamoja na Feni sebuleni na kwenye vyumba.
Nyumba INAUZWA TSH.Ml-190.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba,
+255625369161.