Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
180,000/= Miezi 4
#CHUMBA_MASTA__NA_JIKO
š§Location :: GOBA KWA ROBART
Kalibu kabisa na barabara
š§Bei :: 180,000 Kwa Mwezi
KOD MIEZI 4
Muundo wa Nyumba;
šChumba kimoja ambacho ni Masta
šJiko
šFence
šFeni
šUmeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0785889413