Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Property Listing:
Location: Maeneo ya Goba Njia nne🏠
Rooms: 1 Master Bedroom and Open Kitchen with Cabinets (Jiko)
Rent: 180,000 TZS per month💸
Specifications:
• Nyumba iko Maeneo ya Goba Njia nne (Madale Road)📍
• Jiko ni Open kitchen lina makabati (Open kitchen with cabinets)
• Fence ipo na Parking (Fenced compound with parking)
• Maji na umeme ni ya kulipia binafsi (Water and electricity are prepaid)
• Distance: Nyumba iko umbali wa dk 15 hadi mainRoad (15 minutes’ distance to the main road)
Payment Conditions:
• Kodi ya nyumba kwa mwezi ni 180,000 TZS (Rent per month is 180,000 TZS)
Service Fees:
• Gharama ya kuona nyumba ni 20,000 TZS (inalipwa mara moja hadi utakapopata nyumba)(Viewing fee is 20,000 TZS, paid once until you find the house)
• Gharama ya dalali ni mwezi mmoja wa kodi ya nyumba, ambayo hulipwa na mpangaji tofauti na kodi(Agent fee is one month’s rent, paid by the tenant separate from rent)
Contact:
• Simu/WhatsApp: 0744 701 813