Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO INAKUWA WAZI DATE 15 /12/2024 KUONA MAZINGIRA YA NJE NA KUFANYA MALIPO UNA RUHUSIWA KABISA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#NA BALAZA YAKO
#PUBLICK TOILET
TAILIZ GIPSAM TAILIZ MPKA NJE . MAZINGIRA MAZURI SANA NO USWAHILI HAPA
#LUKU NI MOJA ILA KILA MMOJA ANA SUBMETER YAKE
#MAJI DAWASA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 KUTOKA STANDI YA MWENDO USAFILI BAJAJI 700 PIKI PIKI 1000
UKISHUKA DK 1 UPO NDANI YA NYUMBA
#BEI NI 60,000 KODI YA MIEZI 6 INATAKIWA KODI YA MIEZI 6 HAIPUNGUI MIEZI
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 60000
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0627977383
0769907383
MUONE MR ROONY TZ
AKUHUDUMIE KWA HARAKA