Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿HOUSE FOR RENT STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA SUKA
Distance: KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700
KODI 300,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINNING ROOM
✔️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET NZURI
✔️STORE KUBWA
✔️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✔️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️MAJI YA KISIMA YAPO
✔️FENCED
📌NYUMBA INA PARKING SPACE KUBWA SQM 1000
📌 KUNA MABANDA YA KUFUGA KUKU, KWA MTU AMBAYE NI MFUGAJI 🐓🐓🐓
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp