Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 HOUSE FOR RENT STAND ALONE
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE
LOCATION: KIMARA TEMBONI
DISTANCE: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700
KODI 500,000 × 6
SIFA Ya NYUMBA
📌SEBULE KUBWA SANA
📌DINNING ROOM
📌VYUMBA V4 VIKUBWA VYA KULALA
📌CHUMBA KIMOJA MASTER
📌JIKO KUBWA la KISASA
📌STORE KUBWA
📌PUBLIC TOILET NZURI 🚻
📌TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
📌INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
📌MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
📌RESERVE TANK
📌FENCED
📌PARKING SPACE KUBWA
📌GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp