Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
.
INAKUA WAZI J MOS YA WK HII KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
.
APARTMENT IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
==========
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO NI NJE CHA KWAKO MWENYEWE
NA CHOO KINAFLOW MAJI NDANI
.
INAKUA WAZI J MOS YA WK HII KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
.
APARTMENT IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
KODI NI 150,000 × 6
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
CHOO NI NJE CHA KWAKO MWENYEWE AUSHEI NA MTU
NA CHOO KINAFLOW MAJI NDANI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
IPO NDAN YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
FULL SECURITY
ELECTRONIC FENCE
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp