Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 400,000/= X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FULL ACC & WIFI & ELECTRONIC FENCE
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.