Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


Nyumba Ya Kupanga: Chumba, Sebule na Jiko - 400k TZS/Mwezi🏠
NB : Mpangaji Anatoka Tarehe 10/10/2024, Kuona na Kulipia Ruksa🙂
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo ya Changanyikeni, UDSM📍
• Chumba kimoja ni Master Bedroom
• Jiko lake lakisasa
• Fence na Parking ya Uhakika
• Full Air Conditioner
• Nyumba ipo karibu na Main Road (dk 5 kutembea)
Masharti ya Malipo:
• Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 400,000 TZS
• Malipo ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Gharama za Huduma:
• Gharama za Kuona Nyumba ni 20,000 TZS (Inalipiwa mara moja hadi utakapopata nyumba)
• Gharama za Dalali ni Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba, ambayo hulipwa na Mpangaji tofauti na Kodi.
Mawasiliano:
• Simu/Whatsapp: 0744701813📲