Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA__NA_JIKO
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei Yake :: 200,000 Malipo Miezi 4
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja (master)
📍Jiko
📍Feni
📍Umeme wako & Maji yapo
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call