Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE (Karibu kabisa na Barabara)
💧Bei :: 400,000Tsh Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Ac kwenye Chumba
📍Washing Machine kwa Wapangaji wote
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp