Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _  GOBA NJIA (4) KWENDA MADALE
______________________
#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO#
KODI  TSHS LAKI  400,000/= KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART  APARTMENT 
_____________
YA KIBACHELA 
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala # chenye Kabati Na  Sebule Choo 
#na # Jiko lenye Makabati 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
————
Nione 
dalalimbezibeach_steven 
0716733420
0789801905/ WhatsApp 
0745366724




















