Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#FULL TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YA DAWASCO YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KUTOKA MWENDOKASI
BEI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087