Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI KIBAHA MIEMBE SABA
UMBALI MITA 800 KUTOKA MOROGORO ROAD
DK 10 upo kwako huna haja ya usafiri
👉SIFA ZAKE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE YENYE DINNING
JIKO
STORE
PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME&MAJI
APARTMENT HII haina tiles Ina sakafu ya rang
MADIRISHA ni aluminum
KODI 150000x6
☎️ #0757208653