Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
Location: KIMARA STOP OVER
UMBALI WA KM1.5 BODA 1000/-
📍CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📍JIKO KUBWA ZURI
📍NDANI YA FENCE
📍INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
📍MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍MTAA MZURI Na TULIVU 👍
KODI 150,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞