Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER.. MASTER
KODI 100,000/= X 6 MASTER KALI SANA
NI CHUMBA MASTER KALI SANA
MAJI NDANI
KIMARA MWISHO
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM .2.5
USAFILI BAJAJI 1000
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI