Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Barabara Ya Chuo UDSM/Hospital Ya Wilaya
KODI 350,000 × 6
☑️Sebule Kubwa
☑️Chumba Kimoja Kikubwa Master
☑️Jiko Kubwa Zuri
☑️Full A/c
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
☑️Fenced
☑️No Parking 🚘
☑️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp