Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI WAHI MTEJA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA LINAWEKWA KABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDAN 24HRS
#FULL TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
PAVING BLOCKS
BUSTANI SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
PARKING KUBWA SANA
LOCATION: KIMARA KOROGWE
DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI 🚶🚶
NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 🚗
KODI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
BAADA YA HAPO UTALIPA MIEZI 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp