Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA 400K
LOCATION:KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
NYUMBA INA FULL AC
SEBULENI NA VYUMBANI KOTE
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UKILIPIA INA PIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
KODI 400,000X6
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#