Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 5 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Distance: KM 1 Kutoka Main Road Kituo cha Mwendokasi Unaweza Unatembea Dk 15 Au Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
๐Sebule Kubwa Sana
๐Chumba Kimoja Kikubwa Master
๐Jiko Kubwa Zuri
๐Public Toilet ya Wageni Nje ๐ป
๐Tires, Gypsum Na Slide Windows
KODI 250,000 ร 6
๐Parking Space Available ๐
๐Apartment inajitegemea LUKU Umeme Na Maji
๐DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
๐Reserve TANK
๐Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp