Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
DISTANCE: KM 1.3 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
KODI 210,000 × 6
☑️SEBULE KUBWA SANA
☑️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
☑️JIKO KUBWA ZURI
☑️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
☑️UMEME LUKU INAJITEGEMEA
☑️MAJI SAFI YA DAWASA BURE
☑️YANAFLOW NDANI 24HRS
☑️FENCE YA WAYA
☑️PARKING KUBWA SANA 🚗
☑️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp