Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam






APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: MADALE
💧Bei :: 350,000Tsh kwa Mwezi 
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta 
📍Sebule kubwa 
📍Choo cha Public 
📍Jiko 
📍Fence 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
dalalimbezibeach_goba_salasala 
#0715127812call




















