Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ✨️
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STAND KM 2
Usafiri 24Hours Bajaji 500,Boda 1000
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO ZURI FULL MAKABATI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YA BILL DAWASA
YANAFLOW NDANI 24HRS
RESERVE TANK
KODI 200,000 × 4
KUONA 15,000
MALIPO YA DALALI 𝗡𝗜 MWEZI MMOJA
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp