Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO
#PUBLICK TOILET YA WAGENI NJE
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASA YANAFLOW NDANI
NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKIN IPO
LOCATION #KIMARA_MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 0 MLANGONI
BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796☎