Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA NZUR ZINAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI...
UMBALI WA DK 5 KUTOKA MOROGORO ROAD
ZIPO NYUMBA 4 MPYA ZIPO HATUA ZA MWISHO KUKAMILIKA WAHI KUONA NA KULIPIAA
KUNDI "A"
-SEBULE KUBWA
-JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
-UMEME MITER YAKE
-MAJI MITER YAKE
BEI NI 300,000 ILIPWE MIEZI 3 KUENDELEA
KUNDI "B"
-SEBULE
-JIKO(OPENI KITCHEN)
-CHUMBA MASTER
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
BEI NI 150,000 ILIPWE MIEZI 3 KUENDELEA
*ANGALIZO; KUINGIA NI TAREHE 01.2.2025 KARIBUN SANA UWAHI KUCHAGUA ZIMEBAKI CHACHE*
📲
CONTACT US:-
0716223412
0683597453