Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD NJIA ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa