Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(550,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗪𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 550K X6
KODI LAKI TANO NA NUSU MALIPO NI MIEZI SITA PIA KUNA PESA YA TAHADHARI HAPA INAYOLIPWA SAMBAMBA NA KODI 550K
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DINNING SEHEM YA KULIA CHAKULA
#PUBLIC TOILET NJE
#FULL A.C
#CCTV CAMERA
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI FREE 24HRS
NYUMBA HIZI ZIPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA DK 3 TUH
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 20.04.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300