Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO #KIMARA_TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 5
KUTEMBEA KWA MGUU
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE
JIKO NA CHOO PABLIC
HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING IPO YAKUTOSHA
=====
#KODI. 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343