Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kisongo, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA KISONGO(Nguzo
Mbili)
Ina Vyumba Viwili
Ina Master Moja
Ina Public Toilet
Ina Jiko(Open Kitchen)
Ina Sebule Kubwa
Ina Heater System
Ina Parking
KODI:400,000/= kwa mwezi (Unfurnished)
.
Contacts - 0683545452