Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Najua hata wewe unajiuliza nyumba nzuri hivi kwa hiyo bei
Ndio niupendo tyu wa mwenye nyumba njoo lipia wewe
400,000/= miezi 6
Vyumba viwili kimoja master
Sebule
Jiko
Public toilet
Umeme meter yako
Maji dawasco
MADALE KWA KAWAWA PUA NA MDOMO NA BARABARA
KWAMAWASILIANO
0693797929