Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mateves, Arusha
HII NYUMBA IPO JIRANI NA ARUSHA AIRPORT
NYUMBA INAPANGISHWA MATEVES ARUSHA
Inajitegemeaa
🔹️Ina Vyumba Viwili Vyumba vyote ni master
🔹️Ina Jiko lenye makabati
🔹️Ina sebule na dairining
🔹️Ina Parking
🔹️Inajitegemea
🔺️Bei 400,000/= Kwa Mwezi
Call 0758105801