Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







HAYA SASA IPO WAZI INATAKIWA KODI YA 300000X5
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO MAKABATI
NA PUBLIC TOILET YA PEMBENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKO MAJI YANAFLOW NDANI MITA YAKO
BILA KUSAHAU HELA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA (UANGALIZI WA NYUMBA)
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
======
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347