Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA NDUGU MTEJA IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFURI
NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA HAINA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LINAMAKABATI
APATMET3 ZIPO NDANI YA FENSI MOJA
UMEME KILA MTU NA WAKE
MAJI KILA MMOJA NA TANK LAKE MNASHEA TU BILI YA MAJI
BEI NI 300,000 ILIPIWE MIEZIX4
NJIA NZURI SANA MPKA KWENYE NYUMBA
UKIWA MBEZI STENDI YA MKOA UNAWEZA TEMBEA KWA MGUU DAKIKA15 TU MPKA KWENYE NYUMBA
PIKIPIKI BUKU
PIA UNAWEZA PITIA NJIA YA MPIJI MAGOE
BAJAJI500
DALADALA 500
KUONA NYUMBA HII NI15000
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37