Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Vikindu, Pwani







Ipo vikindu magogo wilaya ya mkuranga kata ya vikindu mtaa wa kamegele
Ina uzwa tsh mil 85
Ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toylety
Ina maji na umeme upo wa luku
Ukubwa wa eneo sqmt 900 ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 7 tu
Njoo boss wangu ukague Nyumba ukiwa serious uwezi kuiyacha kabisa CALL π 0683491594,0716974073