Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA ZA BIASHARA ZINAUZWA BINAFSI
NI APARTMENTS TATU NDANI YA ENEO MOJA JAPO UNAWEZA KUZITENGANISHA PIA
ZIPO GOBA DAR ES SALAAM TANZANIA,
MTAA MZURI SANA NA KARIBU SANA NA BARABARA
UMBALI - MITA TAKRIBANI 600 TU KUTOKA BARABARA KUU, KUTEMBEA KWA MGUU DAKIKA 8 MWENDO WA KAWAIDA
SIFA:
1. NI APARTMENT YA VYUMBA VIWILI KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO, KWENYE HALI ILIVYO SASA INAPANGISHWA LAKI 4, UKIONGEZA THAMANI KAMA KUMALIZIA FENSI NK KODI INAPANDA...
2. ZIPO MBILI HAZIJAKAMILIKA KILA MOJA INA CHUMBA KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO, INAWEZA KUPANGISHWA LAKI 3 IKIKAMILIKA, NA UNAWEZA KUJENGA NYINGINE MBILI AU TATU ZA NAMNA HII NA ENEO LIKABAKI KWA AJILI YA PARKING
Umiliki: Hati kutoka wizara ya Aridhi (Tittle Deed)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Bei : Mil 210
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Tupigie +255-658-582-977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa š https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
everyone
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #apartments #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #homedecor #maishaninyumba
#daressalaam #realestate #homestyle #realestateagent #nyumba #magari #apartment #broker #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale