Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
(ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND)
💧Location :: GOBA LA STANZA
💧Bei :: Tsh. 600,000 kwa Miezi 6
 Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili (Kimoja Master)
📍Sebule kubwa
📍AC sebleni na kwenye Master
📍Choo cha Public 
📍Jiko kubwa lenye makabati
Nipigie/WhatsApp - 
#0714335450 
#0714335450




















