Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA OSTERBAY
💧Bei :: 350,000Tsh Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Sehemu ndogo ya Jiko
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782428327
Call /Whatsapp