Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA MAGETI
💧Bei :: 550,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp