Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
(KWENYE COMPOUND WANNE)
๐งLocation :: GOBA KWA AWADHI - KARIBU NA BARABARA
๐งBei :: 600,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba Viwili (HAINA Masta)
๐Sebule
๐Ac Inafungwa kwote (Sebuleni na vyumba vyote)
๐Choo cha Public
๐Jiko zuri lenye Makabati
๐Electric Fence
๐CCTV Camera
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp