Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - TEGETA A
💧Bei :: 450,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍AC kwenye Masta na Sebuleni
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp
0745559598