Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Iyumbu, Dodoma


NAUZA HIZI APARTMENTS 04
๐Mahali - *IYUMBU* mita 50 tu kutoka lami
๐๐ฝ Kila nyumba ina vyumba viwili (vyote ni master) sebule, jiko zuri na public toilet. (ZOTE ZINA WAPANGAJI)
Kila nyumba inajitegemea umeme, maji yanatoka muda wote.
KIWANJA - *Sqm 903*
Documents - *HATI*โ
๐๐ฝBei - *200M*
๐Kila nyumba kodi ni 300,000/= kwa mwezi



















