Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
1. Master bedroom kubwa kodi 100,000 × 6
2. Master Bedroom na sebule 150,000 × 6
Umbali dakika 12 tu kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence, inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
O679447338
O753454167