Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIBAMBA SHULE DK 10 KUTOKA LAMI KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
kwa mwezi ni laki tatu nanusu tuu/=
(350,000)
X 6
CALL
###0655256419
###0688617926




















