Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
ZIPO 4 TU KWENYE FENCE
KODI 350,000 × 6
NIMEISHUSHA BEI 300,000 × 6
📌SEBULE KUBWA
📌VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
📌CHUMBA KIMOJA MASTER
📌JIKO ZURI
📌PUBLICK TOILET 🚻
📌TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
📌PAVING BLOCKS
📌NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
📌PARKING KUBWA SANA 🚗
📌LUKU INAJITEGEMEA
📌MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
📌RESERVE TANK
📌GOOD ENVIRONMENT 👍
LOCATION: KIMARA BARUTI
DISTANCE: KM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI /500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU MPAKA GETINI
KODI 350,000 × 6
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp