Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENTS CLASSIC FOR RENT
LOCATION: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
𝗔. KODI 350,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✅️JIKO KUBWA ZURI
✅️PUBLIC TOILET YA PEMBENI 🚻
𝗕. KODI 200,000 × 6
☑️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
☑️JIKO KUBWA ZURI
☑️UMEME LUKU YAKO
☑️MAJI METER YAKO &YANAFLOW NDANI 24HRS
☑️ZIPO NDANI YA FENCE
☑️PARKING SPACE KUBWA
☑️FULL PAVING BLOCKS 🚫
UMBALI KM 1.5 BODA 1000, BAJAJI 700
UKISHUKA DAKIKA MOJA UPO NDANI 🚶🚶
📌ZITAKUWA TAYARI KUINGIA KUANZIA 01/05/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp