Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 3 Kutoka Morogoro Road ๐ถ๐ถ
KODI 400,000 ร 6
Sebule Kubwa Sana
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri ๐ป
LUKU Independent
Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Reserve TANKS
Fenced
Parking Space Available ๐
Tires,Gypsum Na Slide Windows
Paving Blocks ๐ซ
๐NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp